BBC News, Swahili - Habari

Sauti, Corona: Umekumbana na habari potofu kuhusu lishe bora?, 2,00

Huku janga la corona likiendelea kuathiri mataifa mengi kote duniani,ushauri wa kupotosha wa kiafya unazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii.

Habari katika Picha

Baadhi ya picha zilizopigwa wiki hii katika maeneo mbalimbali barani Afrika.

Video, Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 22/05/2020, 23,32

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 22/05/2020 na Beryl Wambani

  • Matumizi ya Lugha

    Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.

  • Sauti, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, 6,57

    Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.